1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwanini watanzania wengi hawana vyeti vya kuzaliwa?

Sylvia Mwehozi
29 Machi 2017

Inaelezwa kwamba karibu asilimia 80 ya watoto nchini Tanzania hususan vijijini hawana vyeti vya kuzaliwa. Je unafahamu umuhimu wa wewe kukipata cheti chako cha kuzaliwa.? Fahamu ufafanuzi wa haya yote katika makala yetu leo inayosimuliwa nae Anuary Mkama.

https://p.dw.com/p/2aEX4