Nchini Tanzania kumetokea mkasa wa kuzama jahazi lililokuwa lilizidisha uzito kupita uwezo wake na pengine huenda kuwa hicho ndicho hasa chanzo cha ajali hiyo.
https://p.dw.com/p/CHKz
Matangazo
Katika kupata ufahamu zaidi juu ya mkasa huo tulipata fursa ya kuzungumza na Kamishna wa polisi wa kisiwani Zanzibar Khalid Mwizani ambaye alikuwa na haya ya kusema.