1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

Kutana na Siti binti Saad

Yusra Buwayhid
25 Julai 2018

Mwimbaji maarufu kutoka Zanzibar na mtunzi wa nyimbo, Siti binti Saad aliigeuza taarab kuwa sanaa ya maonyesho. Alijulikana kama sauti ya wanawake wa Afrika Mashariki kwa vile mashairi yake yalibeba maudhui ya kuikosoa jamii.

https://p.dw.com/p/2xUfN