Kompyuta na Mtandao wa Internet – Kipindi 9 –Wizi kwenye tovuti
11 Novemba 2010
Beatrice na John watachunguza kivuli kilichoko kuhusiana na uhalifu wa kwenye mtandao.Kila siku katika mtandao wa internet, matapeli wanaiba taarifa binafsi za watu.Lakini ni vipi wanaweza kufanya hivyo?