Kompyuta na Mtandao wa Internet – Kipindi 7 –Muziki na Video katika tovuti
11 Novemba 2010
Katika kipindi hiki Beatrice na John wanagundua kuwa wanaweza kusikiliza muziki na kuangalia video kwenye mtandao wa Internet. Lakini je ni bure?unafanyaje?na unatafuta vipi tovuti za muziki kuangalia na kusikiliza?