Mkuu wa Idara ya Lugha ya Kiswahili na Isimu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Tanzania, Dk. Pendo Malangwa, anazungumzia nafasi ya Kiswahili kama lugha ya kufundishia elimu ya juu nchini humo pamoja na hali ya tafsiri ilivyo hivi sasa wakati vitabu vyenye maarifa ya kielimu vikihamishiwa kutoka lugha nyengine kwenda Kiswahili.