Dhana na uhalisia wa Kiswahili kama lugha ya kwanza Kenya
Mohammed Khelef23 Julai 2015
Kiswahili ni lugha rasmi nchini Kenya kama kilivyo Kiingereza lakini vipi kuhusu uhalisia mitaani na kwenye maisha ya kila siku ya Wakenya? Je, wanakitambua na kukichukulia Kiswahili hivyo?