SiasaKijana mtumza mbwa ArushaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSudi Mnette14.08.201714 Agosti 2017Mwanaharakati wa haki za wanyama Ismael Ole Mungaya anafanya kazi ya kuwatafuta mbwa wazururaji, wagonjwa na kuwapa tiba na kuwapa makazi salama kwa lengo la kuwapa thamani wanyama hao. Zaidi tazama vidio ya mwandishi Charles Ngereza.https://p.dw.com/p/2iBoTMatangazo