KHARTOUM.El Bashir asema si kweli kuwa amekubali jeshi la ushirikiano la kulinda amani | Habari za Ulimwengu | DW | 28.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KHARTOUM.El Bashir asema si kweli kuwa amekubali jeshi la ushirikiano la kulinda amani

Rais Omar Hassan al Bashir wa Sudan amesema kwamba hajakubali pendekezo lolote kuhusu kupelkwa nchini mwake kikosi cha wanajeshi wa kulinda amani kilicho na mchanganyiko wa jeshi la nchi za umoja wa Afrika na jeshi la umoja wa mataifa.

Kiongozi huyo amesema pendekezo hilo ni uongo na kwamba kikosi hicho kitapelekwa katika jimbo la Darfur magharibi mwa Sudan.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com