1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yasema ipo tayari kuzungumza na al-Shabab

28 Oktoba 2011

Wakati wanajeshi wa Kenya wakiendelea na operesheni ya kudhibiti vitendo vya Kigaidi vinavyotajwa kufanya na wanamgambo wa al-Shabab, serikali yake imesema ipo tayari kufanya mazungumzo na kundi hilo.

https://p.dw.com/p/130tp
Wanajeshi wa Kenya wakielekea.Picha: dapd

Kenya imesema iko tayari kufanya mashauriano na wanamgambo wa al-Shabab wa Somalia pindi watakubali kuachana na matumizi ya nguvu na kusalimisha silaha zao. Naibu Waziri wa mambo ya kigeni wa Kenya, Richard Onyonka, amezungumza na DW kufuatia kadhia hiyo.

Mwandishi: Miraji Othman
Mhariri: Josephat Charo