1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yachoma pembe za ndovu

Josephat Charo Nyiro 29 Aprili 2016

Kenya inateketeza tani 105 za pembe za ndovu na tani moja ya pembe za faru zilizokamatwa kwa majangili au wauzaji. Katika Kinagaubaga, Josephat Charo anazungumza na Paul Udoto, meneja wa mawasiliano wa shirika la kuhudumia wanyamapori Kenya (KWS) kufahamu kama uchomaji utakuwa na manufaa yoyote.

https://p.dw.com/p/1IfFi