1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kamati yaelezea uchunguzi dhidi ya Makonda

Isaac Muyenjwa Gamba22 Machi 2017

Kamati iliyoundwa kuchunguza tukio la wiki iliyopita la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kwa madai ya kuvamia kituo cha matangazo cha habari cha Clouds imekamilisha uchunguzi wake na kuwasilisha ripoti yake kwa waziri.

https://p.dw.com/p/2ZkGV

Mmoja wa wajumbe wa kamati hiyo, Jesse Kwayu, anafafanua matokeo ya jukumu hilo walilopewa.