Jumuiya za kiraia – Kipindi 1 – Mradi wa kandanda wa shirika lisilo la kiserikali la Mysa
Katika kipindi hiki cha kwanza tunazungumzia juu ya mashirika ya kijamii na kupata nafasi ya kuijua klabu kubwa ya kandanda iliyoko katika moja ya mitaa mikubwa kabisa ya mabanda duniani huko nchini Kenya.
Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com