1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juma Nkamia azungumza na DW kuhusu mihula ya Urais.

21 Septemba 2017

Muswada wa ukomo wa ubunge ambao ndani yake kuna hoja ya ukomo wa madaraka ya urais nchini Tanzania kuwa miaka saba, badala ya mitano. Muwasilishaji wa muswada huo ambaye ni mbunge wa Nchemba kutoka CCM, Juma Nkamia ameshashawasilisha notisi yake kwa bunge katika bunge lilipita. Sudi Mnette alizungumza na Mh. Nkamia kuhusu hili. Skiliza hapa.

https://p.dw.com/p/2kTuG