1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jinsi ya kupambana na baridi Ujerumani

Elizabeth Fredrick Shoo13 Januari 2017

Ujerumani na Ulaya kwa ujumla ziko katikati ya msimu wa baridi. Theluji hudondoka na barabara zateleza. Watu wanafanya nini kujikinga na baridi na magonjwa? Elizabeth Shoo anaelezea katika Sura ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/2Vm7x