1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

JERUSALEM: Olmert ataka mkutano na Abbas

19 Desemba 2006
https://p.dw.com/p/CCiE

Waziri mkuu wa Israel Ehud Olmert, amesema yuko tayari kuhudhuria mkutano wa kilele wa Mashariki ya Kati na rais wa Palestina Mahmoud Abbas. Kufuatia mkutano wake na waziri mkuu wa Uingerza Tony Blair, Olmert alisema anatumai mkutano huo utafanyika hivi karibuni.