1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Je, kasi ya mawaziri wa Magufuli ni ya uoga?

Takribani siku 20 tangu kuapishwa kwa mawaziri wa serikali mpya nchini Tanzania, tumeshuhudia mawaziri hao wakitoa matamko na maelekezo kwa watendaji wa serikali, taasisi pamoja na idara zilizo chini ya wizara zao.

DW ilitaka kufahamu kwa undani zaidi utendaji wa kasi hiyo ya mawaziri, ambapo Mratibu Mipango wa Wakfu wa Konrad Adenauer nchini Tanzania, Richard Shaba anaeleza maoni yake katika mahojiano yafuatayo na Grace Kabogo.

Sikiliza mahojiano hapo chini

Sauti na Vidio Kuhusu Mada