Isaya Mwita awa meya mpya wa Dar es Salaam | Matukio ya Afrika | DW | 22.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Isaya Mwita awa meya mpya wa Dar es Salaam

Chama cha upinzani Tanzania Chadema kimepata ushindi katika uchaguzi wa umeya wa Dar es salaam baada ya uchaguzi huo kuahirishwa kwa mara kadhaa. Hii ni mara ya kwanza kwa CCM kushindwa kutoa meya.

Sikiliza sauti 02:41

Ripoti ya Hawa Bihoga kutoka Dar es Salaam

Sauti na Vidio Kuhusu Mada