Iran haina azma ya silaha za atomiki
9 Septemba 2007Matangazo
TEHERAN:
Kiongozi mkuu wa kidini nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei,alisisitiza leo kwamba nchi yake haina nia ya kuunda silaha za kinuklia .
Iran ambayo daima ikitetea haki yake kuendeleza mradi wake wa kinuklia pia inakanusha mashtaka ya Marekani na ya nchi nyengine kuwa ina azma ya kuunda silaha za