Hotuba ya Rais Ghaddafi katika Baraza la Umoja wa Mataifa | Matukio ya Kisiasa | DW | 25.09.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Hotuba ya Rais Ghaddafi katika Baraza la Umoja wa Mataifa

Miongoni mwa viongozi waliozungumza katika baraza kuu la umoja wa Mataifa ni kiongozi wa Libya Muamar Ghaddafi

default

Rais Barack Obama pamoja na Rais Muammar Ghaddafi katika Nembo ya Umoja wa Mataifa

Ghaddafi alichukua muda wa zaidi ya saa moja katika hotuba yake hiyo iliozusha maoni na mitazamo tofauti.

Halima Nyanza alimuuuliza Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania Profesa Issa Shivji na kwanza anaelezea jinsi alivyoiona hotuba hiyo ya Ghaddafi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 25.09.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/JoFz
 • Tarehe 25.09.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/JoFz

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com