1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hisia kuhusu madai ya kupotea kwa shilingi trilioni 1.5 Tanzania

Saumu Ramadhani Yusuf20 Aprili 2018

Je Watanzania wenyewe wanazungumziaje madai kwamba shilingi trilioni 1.5 zimepotea serikalini? Je wameridhika na maelezo ambayo yametolewa na serikali? Sikiliza baadhi ya maoni ya wale waliozungumza na DW

https://p.dw.com/p/2wPjA