Kugonganisha mikono kwa mtindo wa ngumi ama vijana husema "Nipe tano“, ni mtindo unaotumiwa sana na vijana kama salamu, badala ya kupeana mikono. Kulikoni? Mbona vijana wamebadilisha mtindo wa kusalimiana? Ama ndio mabadiliko ya nyakati? Sikiliza makala haya ya Vijana mchakamchaka na Bruce Amani akizungumza na vijana.