1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Harakati za Seif Sharif za kutafuta suluhisho

Daniel Gakuba/M M T13 Julai 2016

Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa chama cha CUF, azungumza na DW juu ya ziara zake katika mataifa makubwa duniani kwa kile anachokieleza kuwa ni kutafuta suluhisho la mzozo wa uliozuka baada ya kufutwa uchaguzi visiwani Zanzibar mwaka jana.

https://p.dw.com/p/1JOJx

MsikilizaeDaniel Gakuba katika kipindi cha Kinagaubaga, akizungumza na Seif Sharid Hamad akiwa mjini London.