1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

HANNOVER: Kambi za "Bundeswehr" kufanyiwa ukarabati

28 Julai 2007
https://p.dw.com/p/CBeL

Kambi za majeshi ya Ujerumani-Bundeswehr zinapaswa kufanyiwa ukarabati.Kwa mujibu wa gazeti la „Hannoversche Allgemeine Zeitung“ serikali inatazamia kutumia jumla ya Euro milioni 700 kwa kazi hiyo ya ukarabati.