Kundi la Mungiki limeua polisi wawili na polisi kulipiza kisasi wameua watu 21 wanaotuhumiwa kuwa Mungiki Mathare Nairobi
https://p.dw.com/p/CB3m
Matangazo
Polisi wanashika doria katika mtaa huo wa Mathare huku wananchi wakijawa na mashaka kuhusiana na kuzorota kwa usalama licha ya rais Kibaki kuwahakikisha wakenya serikali itakabiliana na kundi la Mungiki