1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya kisiasa nchini Komoro

30 Aprili 2007

Habari kutoka mji mkuu wa Umoja wa visiwa vya Komoro,Moroni, zinasema Rais wa kisiwa cha Nzuani Kanali Mohamed Bakari amejiuzulu.

https://p.dw.com/p/CHFA

Hatua hiyo inaelekea kumaliza mgogoro uliokuweko baada ya kiongozi huyo kukataa kufanya hivyo hadi atakapochaguliwa rais mpya katika uchaguzi wa marais wa visiwa mwezi Juni ambapo binafsi ni mgombea.

Mwandishi wetu mjini Moroni, Abdulrahman Baramia ametutumia ripoti ifuatayo.