1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali nchini Mashariki mwa Kongo kutokana na ucheleweshaji wa matokeo ya Uchaguzi

9 Desemba 2011

Katika jamuhuri ya demokrasia ya kongo raia wanasubiri matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika Novemba 28, yalioahirishwa kwa mara ya pili kutangazwa hii leo na tume ya uchaguzi nchini humo.

https://p.dw.com/p/13PPA
Opposition supporters march in protest against alleged fraud in the run up to November elections, in Kinshasa, Congo, Thursday, Sept. 1, 2011. Police fired tear gas Thursday at hundreds of stone-throwing opposition supporters demonstrating in Congo's capital. Jacquemain Shabani, the opposition party's secretary-general, said Thursday that they want an audit of the electoral register, alleging there was fraud during enrollment. (AP Photo/John Bompengo)
Wananchi wa DRC wasubiri matokeo ya uchaguziPicha: AP

Tayari wafuasi wa rais Joseph Kabila wameanza kusherehekea ushindi wa kiongozi wao.


John Kanyunyu, mwandishi wetu aliyoko mji wa Goma, Mashariki ya nchi hiyo,ametuletea ripoti ifuatayo.

Mwandishi John Kanyunyu

Mhariri Othman Miraji.