1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

12 Novemba 2008

Kundi la waasi linaloongozwa na Jenerali muasi Laurent Nkunda limekanusha taarifa za vyombo vya habari nchini Kongo kwamba limeunda serikali yake ambayo inasemekana inawajumuisha mawaziri 12.

https://p.dw.com/p/Fst2
Jenerali Laurent Nkunda akanusha taarifa kwamba ameunda serikali yake.Picha: picture-alliance/ dpa

Saumu Mwasimba alizungumza na Jenerali Laurent Nkunda na kwanza alitaka kupata ukweli juu ya ripoti hizo.