1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Haki za Watoto – Kipindi 04 – Watoto wa Mitaani

22 Machi 2011

Akiwa na umri wa miaka 13, Princess Joel alitaka kuukimbia umaskini wa maisha ya kijijini na akahamia Lagos. Huko alijifunza kupitia njia ngumu kwamba kuwa masikini mjini si rahisi kwa vyovyote vile – ni kinyume kabisa!

https://p.dw.com/p/QquO