FRANKFURT: Magari mapya kupunguza uchafuzi wa mazingira | Habari za Ulimwengu | DW | 13.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

FRANKFURT: Magari mapya kupunguza uchafuzi wa mazingira

Kansela wa Ujerumani,Angela Merkel amefungua rasmi maonyesho ya kimataifa ya magari-IAA mjini Frankfurt.Kuambatana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani,kiini cha maonyesha ya Frankfurt ni magari yasiyochafua mazingira.Hadi Septemba 23, takriban washirika 1,100 kutoka nchi 40 wataonyesha yale yaliyo mapya katika sekta ya magari.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com