1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Elimu Jumla – Kipindi 5 – Mayai na Viazi

7 Aprili 2011

Mayai yanapochemshwa huwa magumu wakati viazi huwa laini. Kwa nini? Mchakato huu umejaa masuala mengi ya fizikia na biokemia. Wakati wa mlo wa jioni kwa akina Jenny, tunagundua kwamba Jack anayafahamu majibu.

https://p.dw.com/p/RGE3