1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Eid Mubaraka!

26 Juni 2017

Habari Afrika Mashariki na Kati. Kwa pamoja tunamshukuru Mola kwa kufanikisha kuumaliza salama mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa ndugu zetu Waislamu. Nasi kutoka hapa Bonn, tunawatakieni nyote Eid Mubarak. Kila mmoja na asherehekee kwa amani na utulivu, na salaamu tele kutoka kwa wanaidhaa ya Kiswahili ya DW. Lakini pia wanakupa zawadi hii hapa. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/2fMvY