EAC iko tayari kuutatua mgogoro wa Burundi | Matukio ya Afrika | DW | 17.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

EAC iko tayari kuutatua mgogoro wa Burundi

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Tanzania anayehusika pia na Jumuiya ya Afrika Mashariki Augustine Mahiga asema hali ya Burundi inahitaji kutatuliwa haraka ili kurejesha nchi katika utulivu.

Sikiliza sauti 04:25

Sikiliza mahojiano Kati ya mwandishi wa DW Amina Abubakar na Waziri Augustine Mahiga.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada