1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dhana kuhusu "Afrika"

16 Aprili 2018

Unaposikia neno AFRIKA picha gani inakujia akilini mwako? Je ni kina mama wanaotembea wakiwa na ndoo za maji kichwani? ama kina baba walioinamisha migongo wakipambana na ardhi kwa kutumia jembe la mkono? Afrika hasa ni ipi? Sikiliza makala yetu Leo, usikie namna inavyozungumzwa.

https://p.dw.com/p/2w7Ik