COLOMBO: Mapambano makali kati ya vikosi na Tamil Tigers | Habari za Ulimwengu | DW | 09.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

COLOMBO: Mapambano makali kati ya vikosi na Tamil Tigers

Nchini Sri Lanka,mwanajeshi mmoja na hadi waasi 30 wameuawa katika mapambano yaliyozuka kati ya vikosi vya serikali na wanamgambo wa Tamil Tigers,mashariki ya nchi hiyo.Kwa mujibu wa msemaji wa majeshi,wakati wa mapigano hayo katika wilaya ya Batticaloa,kambi nne za waasi pia ziliteketezwa.Tangu majuma kadhaa,mapigano makali yanaendelea katika eneo hilo la mashariki.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com