1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bunge la Tanzania na matangazo ya moja kwa moja

Mohammed Abdulrahman Mohammed5 Mei 2016

Vyombo vya habari vya Tanzania vimepigwa marufuku kuonyesha yanayoendelea bungeni moja kwa moja. Katika Kinagaubaga, waziri wa habari, utamaduni na michezo Tanzania, Nape Nnauye, anatoa ufafanuzi kuhusu uamuzi huo.

https://p.dw.com/p/1IigB