1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BOT yawatoa hofu Watanzania, wawekezaji

Lilian Mtono
5 Januari 2018

Benki kuu ya Tanzania BOT, imewatoa hofu wananchi na wawekezaji kuhusiana na uendeshaji wa mabenki ikisema, amana zilizo nyingi ziko salama na wananchi waendelee kuweka fedha benki. Hii inafuatia hatua yake ya kufungia benki tano kutokana na upungufu wa mitaji na kuwalipa wateja wa benki hizo shilingi milioni 1.5.

https://p.dw.com/p/2qO53