1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Biashara ya kuuza chenji

28 Septemba 2017

Kijana Lucas Sangale kutoka Arusha ni miongoni mwa mamia ya vijana waliobuni ajira ya kuuza chenji kwa watoa huduma ya daladala, ingawa ajira hio sio rasmi kama sehemu ya ajira lakini vijana wengi hujipatia fedha kupitia ajira hio.

https://p.dw.com/p/2ksI5