"Best Jiongeze Twende Tukapime"13.05.201613 Mei 2016Wasichana wanajitokeza kupima hali zao za afya kubaini ikiwa wameambukizwa virusi vinavyosababisha ukimwi katika kampeni iliyopewa jina "Best Jiongeze Twende Tukapime". Uzinduzi ulifanyika Kakola, Kahama, Tanzania.https://p.dw.com/p/1InWwMabinti walioshiriki uzinduzi wa kampeni, kijiji cha Kakola, Kahama, TanzaniaPicha: DW/V.NatalisMatangazo