1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Besigye apandishwa tena kizimbani

1 Julai 2016

Kiongozi wa upinzani Uganda, Kizza Besigye, ataendelea kubaki gerezani hadi tarehe 13 Julai. Hii ni baada ya upande wa mashtaka kuomba muda zaidi kukamilisha uchunguzi wao kuhusiana na kesi ya uhaini dhidi yake pale aliponaswa akichukua kiapo cha kuwa rais wa Uganda siku mbili tu kabla ya rais Museveni kufanya hivyo mwezi Mei.

https://p.dw.com/p/1JHbT