1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bei ya Umeme nchini Tanzania

16 Agosti 2011

Huko Tanzania maisha ya wananchi yameendelea kukabiliwa na changamoto kutokana na mgao wa umeme na kupanda kwa bei za nishati.

https://p.dw.com/p/12H9I
Watanzania wakabiliwa na shida ya umeme.Picha: Fotolia/Petoo

Je watanzania wenyewe wanasema nini kuhusu hali hiyo? Haya ni baadhi ya maoni yao!

Mwandishi: Josephat Charo

Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman