1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BAGHDAD.Watu 11 wauwawa na shambulio la Marekani

23 Oktoba 2007
https://p.dw.com/p/C7DK

Watu 11 wameuwawa wakiwemo wanawake watano na mtoto mmoja na wengine wengi wamejeruhiwa karibu na mji wa Samarra nchini Iraq baada ya wanajeshi wa Marekani kufanya shambulio la angani.Jeshi la Marekani limethibitisha juu ya shambulio lakini halikutoa taarifa zaidi.