1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BAGHDAD:Abu Ayyub al Masri bado yu hai

5 Mei 2007
https://p.dw.com/p/CC4e

Kiongozi wa mtandao wa alkaida nchini Irak bado yungali hai kinyume na habari zilitolewa na serikali ya Irak kuwa aliuliwa katika mapambano ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya alkaida.

Kiongozi huyo Abu Ayyub al Masri alionekana kwenye ukanda wa video katika tovuti.Lakini haifahamiki ni lini ukanda huo ulitayarishwa.