Baada ya uchaguzi wa Novemba 28, Kongo yaelekea wapi? | Matukio ya Kisiasa | DW | 17.12.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Baada ya uchaguzi wa Novemba 28, Kongo yaelekea wapi?

Maoni Mbele ya Meza ya Duara wiki hii inatathmini uchaguzi wa pili wa kidemokrasia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na mahala ambapo nchi hiyo ya Afrika ya Kati inaelekea baada ya uchaguzi huu unaolalamikiwa.

Kiongozi wa upinzani, Etienne Tshisekedi (kushoto) na Rais Joseph Kabila.

Kiongozi wa upinzani, Etienne Tshisekedi (kushoto) na Rais Joseph Kabila.

Othman Miraji anawakusanya wataalamu na wachambuzi wa siasa za Afrika mbele ya Meza ya Duara ya Deutsche Welle kujadiliana juu ya hatima ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kutangazwa tena kuwa mshindi wa uchaguzi kwa rais wa sasa, Joseph Kabila Kabange.

DW inapendekeza

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 17.12.2011
 • Mwandishi Othman Miraji
 • Mada Zinazohusiana DRC, Joseph Kabila
 • Maneno muhimu DRC
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13Uk6
 • Tarehe 17.12.2011
 • Mwandishi Othman Miraji
 • Mada Zinazohusiana DRC, Joseph Kabila
 • Maneno muhimu DRC
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13Uk6

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com