Viongozi wa Kiafrika wampongeza Kabila kwa ushindi | Matukio ya Afrika | DW | 17.12.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Viongozi wa Kiafrika wampongeza Kabila kwa ushindi

Kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, uchaguzi wa Bunge wa Misri na mkutano wa kilele wa viongozi wa mataifa ya Maziwa Makuu mjini Kampala ni miongoni mwa mada za Afrika Wiki Hii.

Afrika wiki hii

Afrika wiki hii

Fuatana na Mohammed Abdulrahman kuliangazia bara la Afrika na matukio yaliyojiri barani humo kwa juma zima (12.12 - 16.12.2011) katika makala hii ya Afrika Wiki Hii kutoka Deutsche Welle, Bonn.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 17.12.2011
 • Mwandishi Mohammed Abdul-Rahman
 • Mada Zinazohusiana AFCON
 • Maneno muhimu Afrika
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13Uk1
 • Tarehe 17.12.2011
 • Mwandishi Mohammed Abdul-Rahman
 • Mada Zinazohusiana AFCON
 • Maneno muhimu Afrika
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13Uk1