1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Arusha wabuni mbinu za kuwavutia watalii

27 Machi 2018

Baada ya miongo kadhaa ya biashara ya utalii wa picha, kutazama wanyama sasa utalii wa utamaduni umekuwa na kutengeneza ajira nyingi kwa vijana na wanawake wajasiriamali ambao huuza bidhaa za kitamadunin na sanaa kwa watalii wanaopita maeneo mbalimbali kabla ya kufika Ngorongoro na Serengeti.

https://p.dw.com/p/2v562