ALGIERS: Belkhadem kuendelea na wadhfa wa waziri mkuu | Habari za Ulimwengu | DW | 05.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ALGIERS: Belkhadem kuendelea na wadhfa wa waziri mkuu

Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria ameteua serikali mpya na kumbakisha katika wadhfa wake waziri mkuu wa nchi hiyo Abdelaziz Belkhadem.

Vyama mseto vya Algeria vinavyo ongozwa na chama cha bwana Belkhadem cha National Liberation Front FLN vilishinda katika uchaguzi uliomalizika hivi majuzi wa tarehe 17 mwezi Mei.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com