1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrka na Ulaya zakutana

Admin.WagnerD29 Novemba 2010

Ulaya na Afrika zakutana

https://p.dw.com/p/QKxQ
Kamishna wa Tabia Nchi wa Umoja wa Ulaya, Connie Hedegaard
Kamishna wa Tabia Nchi wa Umoja wa Ulaya, Connie HedegaardPicha: European Journalism Centre

Mkutano wa tatu wa Afrika na Ulaya unafanyika hii leo mjini Tripoli, Libya. Mada kuu za mkutano huo utakaohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Afrika na Ulaya ni pamoja na uwekezaji, ukuaji wa uchumi na uundwaji wa ajira pamoja na uhamiaji wa Waafrika kuelekea nchi za Ulaya. Katika mahojiano haya, Grace Kabogo anazungumza na mwandishi habari aliyeko Tripoli, Yusuf Mussa Suleiman, ambaye anaelezea malengo hasa ya mkutano huu.

Mahojiano: Grace Kabogo/Yusuf Suleiman

Mhariri: Miraji Othman