Tuliyo nayo ni pamoja na : Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamtaka Rais wa Marekani Donald Trump kuwapatia hifadhi wakimbizi// Kashifa kuhusina na vitendo vya utovu wa nidhamu yaibuka katika kituo cha mafunzo ya kijeshi nchini Ujerumani// Rais wa Iran Hassan Rouhani akosoa hatua ya Trump kujenga ukuta mpakani na Mexico.