Tamko la Trump kuwazuia waliobadili jinsia kujiunga na jeshi la Marekani lawagawa maveterani ndani ya Congress. Kiasi ya watoto Milioni mbili(2) wanahitaji misaada ya kiutu nchini Yemen na Waumini wa kiislamu waomba kurejea kwenye msikiti wa al-Aqsa. Papo kwa Papo: 27.07.2017.